Njoo Uone Retreat

Ratiba

Siku ya Kwanza

Saa 09.00 Kuandikisha

10.00 Chai

10.30 Maandalizi ya Sala

11.30 Taize Prayer Utangulizi

01.00 Chakula

02.15  River Me

Kila Siku

Saa 12.45 Tafakari ya Asubuhi

01.30 Kifungua Kinywa

02.15 KIPINDI 1 Tafakari ya Binafsi

04.00 Chai

04.30 KIPINDI 2 Tafakari ya Binafsi

06.30 Chakula cha Mchana Mapumziko (Ukimya)

08.15 KIPINDI 3 SALA Katika Vikundi

10.00 Chai Usafi binafsi (Ukimya)

11.00 MISA TAKATIFU

01.00 Chakula cha Jioni

01.45 Ibada ya kuabudu Ekaristi